Nanyi mtamweka hata siku ya kumi na nne ya mwezi ule ule; na kusanyiko lote la mkutano wa Israeli watamchinja jioni.
Marko 15:8 - Swahili Revised Union Version Makutano wakaja, wakaanza kuomba awafanyie kama vile alivyozoea. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake. Biblia Habari Njema - BHND Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida yake. Neno: Bibilia Takatifu Umati ule wa watu wakamjia Pilato na kumwomba awafanyie kama ilivyokuwa desturi yake. Neno: Maandiko Matakatifu Ule umati wa watu ukamjia Pilato na kumwomba awafanyie kama ilivyokuwa desturi yake. BIBLIA KISWAHILI Makutano wakaja, wakaanza kuomba awafanyie kama vile alivyozoea. |
Nanyi mtamweka hata siku ya kumi na nne ya mwezi ule ule; na kusanyiko lote la mkutano wa Israeli watamchinja jioni.
Basi wakati wa sikukuu, mtawala desturi yake huwafungulia mkutano mfungwa mmoja waliyemtaka.
Akaondoka huko akafika katika eneo la Yudea, na ng'ambo ya Yordani; makutano mengi wakakutanika tena wakamwendea; akawafundisha tena kama alivyozoea.
Palikuwa na mtu aitwaye Baraba, aliyefungwa pamoja na waasi, waliosababisha mauaji katika uhalifu huo.