Marko 15:9 - Swahili Revised Union Version9 Pilato akawajibu, akisema, Je! Mnataka niwafungulie mfalme wa Wayahudi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Pilato akawauliza, “Je, mwataka niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie huyu mfalme wa Wayahudi?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie huyu Mfalme wa Wayahudi?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Pilato akawajibu, akisema, Je! Mnataka niwafungulie mfalme wa Wayahudi? Tazama sura |