Marko 10:28 - Swahili Revised Union Version Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!” Biblia Habari Njema - BHND Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!” Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha kila kitu na kukufuata wewe!” Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha kila kitu na kukufuata wewe!” BIBLIA KISWAHILI Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe. |
Naye alipokuwa peke yake, wale watu waliomzunguka, na wale Kumi na Wawili, walimwuliza kuhusu ile mifano.
Basi, kadhalika kila mmoja wenu asiyeacha vyote alivyo navyo, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.