Marko 10:28 - Swahili Revised Union Version28 Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha kila kitu na kukufuata wewe!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha kila kitu na kukufuata wewe!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe. Tazama sura |