Maombolezo 5:10 - Swahili Revised Union Version Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuri; Kwa sababu ya joto ya njaa ituteketezayo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ngozi zetu zawaka moto kama tanuri kwa sababu ya njaa inayotuchoma. Biblia Habari Njema - BHND Ngozi zetu zawaka moto kama tanuri kwa sababu ya njaa inayotuchoma. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ngozi zetu zawaka moto kama tanuri kwa sababu ya njaa inayotuchoma. Neno: Bibilia Takatifu Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kutokana na fadhaa ya njaa. Neno: Maandiko Matakatifu Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa. BIBLIA KISWAHILI Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuri; Kwa sababu ya ukali wa njaa ituteketezayo. |
Nyuso zao ni nyeusi kuliko makaa; Hawajulikani katika njia kuu; Ngozi yao yagandamana na mifupa yao Imekauka, imekuwa kama mti.