Maombolezo 5:10 - Swahili Revised Union Version10 Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuri; Kwa sababu ya joto ya njaa ituteketezayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Ngozi zetu zawaka moto kama tanuri kwa sababu ya njaa inayotuchoma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Ngozi zetu zawaka moto kama tanuri kwa sababu ya njaa inayotuchoma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Ngozi zetu zawaka moto kama tanuri kwa sababu ya njaa inayotuchoma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kutokana na fadhaa ya njaa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ngozi yetu ina joto kama tanuru, kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuri; Kwa sababu ya ukali wa njaa ituteketezayo. Tazama sura |