Maombolezo 5:11 - Swahili Revised Union Version11 Wanawake katika Sayuni wanashikwa kwa nguvu; Na mabikira katika miji ya Yuda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Wanawake wetu wanashikwa kwa nguvu mjini Siyoni, binti zetu katika vijiji vya Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Wanawake wetu wanashikwa kwa nguvu mjini Siyoni, binti zetu katika vijiji vya Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Wanawake wetu wanashikwa kwa nguvu mjini Siyoni, binti zetu katika vijiji vya Yuda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Wanawake katika Sayuni wanashikwa kwa nguvu; Na mabikira katika miji ya Yuda. Tazama sura |