Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Maombolezo 3:4 - Swahili Revised Union Version

4 Amechakaza ngozi yangu na nyama yangu; Ameivunja mifupa yangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Amenichakaza ngozi na nyama, mifupa yangu ameivunja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Amenichakaza ngozi na nyama, mifupa yangu ameivunja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Amenichakaza ngozi na nyama, mifupa yangu ameivunja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Amefanya ngozi yangu na nyama yangu kuchakaa na ameivunja mifupa yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Amefanya ngozi yangu na nyama yangu kuchakaa na ameivunja mifupa yangu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Amechakaza ngozi yangu na nyama yangu; Ameivunja mifupa yangu.

Tazama sura Nakili

Maombolezo 3:4
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ngozi yangu ni nyeusi, nayo yanitoka, Na mifupa yangu imeteketea kwa joto.

Nimemwagika kama maji, Mifupa yangu yote imeteguka, Moyo wangu umekuwa kama nta, Na kuyeyuka ndani ya moyo wangu.

Nilipokosa kuungama dhambi zangu, mifupa yangu ilipooza Kwa kulia kwangu mchana kutwa.

Unifanye kusikia furaha na shangwe, Mifupa uliyoiponda ifurahi.

Nilijituliza hata asubuhi; kama simba, anaivunja mifupa yangu yote; Tangu mchana hata usiku wanimaliza.

Israeli ni kondoo aliyetawanywa; simba wamemfukuzia mbali; kwanza mfalme wa Ashuru amemla, na mwisho Nebukadneza huyu, mfalme wa Babeli, amemvunja mifupa yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo