Maombolezo 3:3 - Swahili Revised Union Version3 Hakika juu yangu augeuza mkono wake Mara kwa mara mchana wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Amenyosha mkono wake dhidi yangu mimi tu, akanichapa tena na tena mchana kutwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Amenyosha mkono wake dhidi yangu mimi tu, akanichapa tena na tena mchana kutwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Amenyosha mkono wake dhidi yangu mimi tu, akanichapa tena na tena mchana kutwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 hakika, amegeuza mkono wake dhidi yangu tena na tena, mchana kutwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 hakika, amegeuza mkono wake dhidi yangu tena na tena, mchana kutwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Hakika juu yangu augeuza mkono wake Mara kwa mara mchana wote. Tazama sura |