Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, akiwa amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza, Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
Luka 7:48 - Swahili Revised Union Version Kisha alimwambia mwanamke, Umesamehewa dhambi zako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yesu akamwambia yule mwanamke, “Umesamehewa dhambi zako.” Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yesu akamwambia yule mwanamke, “Umesamehewa dhambi zako.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yesu akamwambia yule mwanamke, “Umesamehewa dhambi zako.” Neno: Bibilia Takatifu Kisha akamwambia yule mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.” Neno: Maandiko Matakatifu Kisha akamwambia yule mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.” BIBLIA KISWAHILI Kisha alimwambia mwanamke, Umesamehewa dhambi zako. |
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, akiwa amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza, Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
Kwa maana rahisi ni lipi, ni kusema, Umesamehewa dhambi zako, au ni kusema, Ondoka, uende?
Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
Vyepesi ni vipi, kumwambia mwenye kupooza, Umesamehewa dhambi zako, au kusema, Ondoka, ujitwike godoro lako, uende?
Kwa ajili ya hayo nakuambia, Amesamehewa dhambi zake ambazo ni nyingi, kwa kuwa amependa sana; lakini asamehewaye kidogo, huyo hupenda kidogo.