Na Manase akazimwaga damu zisizo na hatia, nyingi sana, hata alipokuwa ameijaza Yerusalemu tangu upande huu hata upande huu; zaidi ya kosa lake alilowakosesha Yuda, kutenda yaliyo mabaya machoni pa BWANA.
Luka 3:20 - Swahili Revised Union Version aliongeza na hili juu ya yote, alimfunga Yohana gerezani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani. Biblia Habari Njema - BHND Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani. Neno: Bibilia Takatifu Herode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yahya gerezani. Neno: Maandiko Matakatifu Herode aliongezea jambo hili kwa hayo mengine yote: alimfunga Yahya gerezani. BIBLIA KISWAHILI aliongeza na hili juu ya yote, alimfunga Yohana gerezani. |
Na Manase akazimwaga damu zisizo na hatia, nyingi sana, hata alipokuwa ameijaza Yerusalemu tangu upande huu hata upande huu; zaidi ya kosa lake alilowakosesha Yuda, kutenda yaliyo mabaya machoni pa BWANA.
tena kwa ajili ya damu zisizo na hatia alizozimwaga; kwani aliujaza Yerusalemu damu zisizo na hatia; wala BWANA hakukubali kusamehe.
lakini waliwadhihaki wajumbe wa Mungu, na kuyadharau maneno yake, na kuwacheka manabii wake, hata ilipozidi ghadhabu ya BWANA juu ya watu wake, hata kusiwe na kuponya.
Walakini hawakukutii, wakakuasi, wakaitupa sheria yako nyuma yao, wakawaua manabii wako waliowaonya ili wapate kukurudia wewe; wakakufuru sana.
Nimewapiga watoto wako bure; hawakukubali kurudiwa; upanga wenu wenyewe umewala manabii wako, kama simba aharibuye.
kwa kuwa walimwaga damu ya watakatifu na ya manabii, nawe umewapa damu wainywe; ndiyo wanayostahili.