Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, wakuu wa makuhani, na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato,
Luka 23:54 - Swahili Revised Union Version Na siku ile ilikuwa siku ya Maandalio, na sabato ikaanza kuingia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku hiyo ilikuwa Ijumaa, na maandalio ya siku ya Sabato yalikuwa yanaanza. Biblia Habari Njema - BHND Siku hiyo ilikuwa Ijumaa, na maandalio ya siku ya Sabato yalikuwa yanaanza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku hiyo ilikuwa Ijumaa, na maandalio ya siku ya Sabato yalikuwa yanaanza. Neno: Bibilia Takatifu Ilikuwa Siku ya Maandalizi, nayo Sabato ilikuwa karibu kuanza. Neno: Maandiko Matakatifu Ilikuwa Siku ya Maandalizi, nayo Sabato ilikuwa karibu kuanza. BIBLIA KISWAHILI Na siku ile ilikuwa siku ya Maandalio, na sabato ikaanza kuingia. |
Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, wakuu wa makuhani, na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato,
Akaushusha, akauzinga sanda ya kitani, akauweka katika kaburi lililochongwa mwambani, ambalo hajalazwa mtu bado ndani yake.
Nayo ilikuwa Maandalio ya Pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!
Basi Wayahudi, kwa sababu ni Maandalio, miili isikae juu ya misalaba siku ya sabato, (maana sabato ile ilikuwa siku kubwa), walimwomba Pilato miguu yao ivunjwe, wakaondolewe.
Humo basi, kwa sababu ya Maandalio ya Wayahudi, wakamweka Yesu; maana lile kaburi lilikuwa karibu.