Luka 22:65 - Swahili Revised Union Version Wakamtolea na maneno mengine mengi ya kumtukana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakamtolea maneno mengi ya matusi. Biblia Habari Njema - BHND Wakamtolea maneno mengi ya matusi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakamtolea maneno mengi ya matusi. Neno: Bibilia Takatifu Wakaendelea kumtukana kwa matusi mengi. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaendelea kumtukana kwa matusi mengi. BIBLIA KISWAHILI Wakamtolea na maneno mengine mengi ya kumtukana. |
Na kila mtu atakayenena neno juu ya Mwana wa Mtu atasamehewa, bali aliyemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Na mara nyingi katika masinagogi yote niliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini.