Mathayo 27:39 - Swahili Revised Union Version39 Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisatikisa vichwa vyao, wakisema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Watu waliokuwa wanapita mahali hapo walimtukana wakitikisa vichwa vyao na kusema, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Watu waliokuwa wanapita mahali hapo walimtukana wakitikisa vichwa vyao na kusema, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Watu waliokuwa wanapita mahali hapo walimtukana wakitikisa vichwa vyao na kusema, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao Tazama suraBIBLIA KISWAHILI39 Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisatikisa vichwa vyao, wakisema, Tazama sura |