Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 27:38 - Swahili Revised Union Version

38 Wakati uo huo wanyang'anyi wawili wakasulubiwa pamoja naye, mmoja katika mkono wake wa kulia, na mmoja katika mkono wake wa kushoto.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Wanyanganyi wawili walisulubiwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Wanyanganyi wawili walisulubiwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Wanyang'anyi wawili walisulubiwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Wanyang’anyi wawili walisulubiwa pamoja naye, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Wanyang’anyi wawili walisulubiwa pamoja naye, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

38 Wakati huo huo wanyang'anyi wawili wakasulubiwa pamoja naye, mmoja katika mkono wake wa kulia, na mmoja katika mkono wake wa kushoto.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:38
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa hiyo nitamgawia sehemu pamoja na wakuu, Naye atagawana nyara pamoja nao walio hodari; Kwa sababu alimwaga nafsi yake hata kufa, Akahesabiwa pamoja na hao wakosao. Walakini alichukua dhambi za watu wengi, Na kuwaombea wakosaji.


Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.


Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisatikisa vichwa vyao, wakisema,


Pia wale wanyang'anyi waliosulubiwa pamoja naye walimshutumu vile vile.


Na pamoja naye walisulubisha wanyang'anyi wawili, mmoja mkono wake wa kulia na mmoja mkono wake wa kushoto. [


Kwa kuwa nawaambia, hayo yaliyoandikwa hayana budi kutimizwa kwangu; ya kuwa, Alihesabiwa pamoja na wahalifu. Kwa sababu yanipasayo yanao mwisho wake.


Wakamsulubisha huko, na wengine wawili pamoja naye, mmoja huku na mmoja huku, na Yesu katikati.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo