Luka 22:6 - Swahili Revised Union Version Akakubali, akatafuta nafasi ya kumsaliti kwao pasipokuwapo mkutano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yuda akakubali, na akawa anatafuta nafasi nzuri ya kumkabidhi kwao bila umati wa watu kujua. Biblia Habari Njema - BHND Yuda akakubali, na akawa anatafuta nafasi nzuri ya kumkabidhi kwao bila umati wa watu kujua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yuda akakubali, na akawa anatafuta nafasi nzuri ya kumkabidhi kwao bila umati wa watu kujua. Neno: Bibilia Takatifu Naye akakubali, akaanza kutafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Isa kwao, ambapo hakuna umati wa watu. Neno: Maandiko Matakatifu Naye akakubali, akaanza kutafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Isa kwao, wakati ambapo hakuna umati wa watu. BIBLIA KISWAHILI Akakubali, akatafuta nafasi ya kumsaliti kwao pasipokuwapo mkutano. |