Luka 22:6 - Swahili Revised Union Version6 Akakubali, akatafuta nafasi ya kumsaliti kwao pasipokuwapo mkutano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Yuda akakubali, na akawa anatafuta nafasi nzuri ya kumkabidhi kwao bila umati wa watu kujua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Yuda akakubali, na akawa anatafuta nafasi nzuri ya kumkabidhi kwao bila umati wa watu kujua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Yuda akakubali, na akawa anatafuta nafasi nzuri ya kumkabidhi kwao bila umati wa watu kujua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Naye akakubali, akaanza kutafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Isa kwao, ambapo hakuna umati wa watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Naye akakubali, akaanza kutafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Isa kwao, wakati ambapo hakuna umati wa watu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Akakubali, akatafuta nafasi ya kumsaliti kwao pasipokuwapo mkutano. Tazama sura |