Luka 22:7 - Swahili Revised Union Version7 Ikafika siku ya mikate isiyotiwa chachu, ambayo ilipasa kuchinja Pasaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Basi, siku ya mikate isiyotiwa chachu ikafika. Hiyo ndiyo siku ambayo mwanakondoo wa Pasaka huchinjwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Basi, siku ya mikate isiyotiwa chachu ikafika. Hiyo ndiyo siku ambayo mwanakondoo wa Pasaka huchinjwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Basi, siku ya mikate isiyotiwa chachu ikafika. Hiyo ndiyo siku ambayo mwanakondoo wa Pasaka huchinjwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Basi ikawadia siku ya Mikate Isiyotiwa Chachu, siku ambayo mwana-kondoo wa Pasaka huchinjwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Basi ikawadia siku ya Mikate Isiyotiwa Chachu, siku ambayo mwana-kondoo wa Pasaka huchinjwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Ikafika siku ya mikate isiyotiwa chachu, ambayo ilipasa kuchinja Pasaka. Tazama sura |