Marko 14:2 - Swahili Revised Union Version2 Kwa maana walisema, Isiwe kwa wakati wa sikukuu, isije ikatokea ghasia katika watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Lakini walisema, “Tusimtie nguvuni wakati wa sikukuu, watu wasije wakafanya ghasia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Lakini walisema, “Tusimtie nguvuni wakati wa sikukuu, watu wasije wakafanya ghasia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Lakini walisema, “Tusimtie nguvuni wakati wa sikukuu, watu wasije wakafanya ghasia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Lakini walisema, “Tusilifanye jambo hili wakati wa Sikukuu, maana watu wanaweza wakafanya ghasia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Lakini walisema, “Tusilifanye jambo hili wakati wa Sikukuu, maana watu wanaweza wakafanya ghasia.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Kwa maana walisema, Isiwe kwa wakati wa sikukuu, isije ikatokea ghasia katika watu. Tazama sura |