Mfurahieni BWANA; Shangilieni, enyi wenye haki Pigeni vigelegele vya furaha; Ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo.
Luka 2:28 - Swahili Revised Union Version yeye mwenyewe alimpokea mikononi mwake, akamshukuru Mungu, akisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Simeoni alimpokea mtoto Yesu mikononi mwake huku akimtukuza Mungu, akisema: Biblia Habari Njema - BHND Simeoni alimpokea mtoto Yesu mikononi mwake huku akimtukuza Mungu, akisema: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Simeoni alimpokea mtoto Yesu mikononi mwake huku akimtukuza Mungu, akisema: Neno: Bibilia Takatifu ndipo Simeoni akampokea mtoto mikononi mwake na kumsifu Mungu, akisema: Neno: Maandiko Matakatifu ndipo Simeoni akampokea mtoto mikononi mwake na kumsifu Mwenyezi Mungu, akisema: BIBLIA KISWAHILI yeye mwenyewe alimpokea mikononi mwake, akamshukuru Mungu, akisema, |
Mfurahieni BWANA; Shangilieni, enyi wenye haki Pigeni vigelegele vya furaha; Ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo.
Wale wachungaji wakarudi, huku wanamtukuza Mungu na kumsifu kwa mambo yote waliyosikia na kuyaona, kama walivyoambiwa.
Basi akaja hekaluni ameongozwa na Roho; na wale wazazi walipomleta mtoto Yesu ndani, ili wamfanyie kama ilivyokuwa desturi ya sheria,
Ripoti hiyo ikawaridhisha Waisraeli; nao Waisraeli wakamhimidi Mungu, wala hawakusema tena habari ya kuwaendea ili kupigana nao, wala kuiharibu nchi waliyoikaa wana wa Reubeni, na wana wa Gadi.