Luka 2:29 - Swahili Revised Union Version29 Sasa, Bwana, wamruhusu mtumishi wako, Kwa amani, kama ulivyosema; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 “Sasa Bwana, umetimiza ahadi yako, umruhusu mtumishi wako aende kwa amani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 “Sasa Bwana, umetimiza ahadi yako, umruhusu mtumishi wako aende kwa amani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 “Sasa Bwana, umetimiza ahadi yako, umruhusu mtumishi wako aende kwa amani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 “Bwana Mungu Mwenyezi, kama ulivyoahidi, sasa mruhusu mtumishi wako aende kwa amani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 “Bwana Mwenyezi, kama ulivyoahidi, sasa wamruhusu mtumishi wako aende zake kwa amani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Sasa, Bwana, wamruhusu mtumishi wako, Kwa amani, kama ulivyosema; Tazama sura |