Luka 2:28 - Swahili Revised Union Version28 yeye mwenyewe alimpokea mikononi mwake, akamshukuru Mungu, akisema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Simeoni alimpokea mtoto Yesu mikononi mwake huku akimtukuza Mungu, akisema: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Simeoni alimpokea mtoto Yesu mikononi mwake huku akimtukuza Mungu, akisema: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Simeoni alimpokea mtoto Yesu mikononi mwake huku akimtukuza Mungu, akisema: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 ndipo Simeoni akampokea mtoto mikononi mwake na kumsifu Mungu, akisema: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 ndipo Simeoni akampokea mtoto mikononi mwake na kumsifu Mwenyezi Mungu, akisema: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 yeye mwenyewe alimpokea mikononi mwake, akamshukuru Mungu, akisema, Tazama sura |