Angalieni, mimi na watoto hawa niliopewa na BWANA tu ishara na ajabu katika Israeli, zitokazo kwa BWANA wa majeshi, yeye akaaye katika mlima Sayuni.
Luka 2:18 - Swahili Revised Union Version Wote waliosikia wakastaajabu kwa hayo waliyoambiwa na wachungaji. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji. Biblia Habari Njema - BHND Wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji. Neno: Bibilia Takatifu Nao wote waliosikia habari hizi wakastaajabia yale waliyoambiwa na wale wachungaji wa kondoo. Neno: Maandiko Matakatifu Nao wote waliosikia habari hizi wakastaajabia yale waliyoambiwa na wale wachungaji wa kondoo. BIBLIA KISWAHILI Wote waliosikia wakastaajabu kwa hayo waliyoambiwa na wachungaji. |
Angalieni, mimi na watoto hawa niliopewa na BWANA tu ishara na ajabu katika Israeli, zitokazo kwa BWANA wa majeshi, yeye akaaye katika mlima Sayuni.
Mshangao ukawashika wote, wakasemezana wakisema, Ni neno gani hili, maana awaamuru pepo wachafu kwa uwezo na nguvu, nao hutoka.