Luka 17:18 - Swahili Revised Union Version Je! Hawakuonekana waliorudi kumpa Mungu utukufu ila mgeni huyu? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hakupatikana mwingine aliyerudi kumtukuza Mungu ila tu huyu mgeni?” Biblia Habari Njema - BHND Hakupatikana mwingine aliyerudi kumtukuza Mungu ila tu huyu mgeni?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hakupatikana mwingine aliyerudi kumtukuza Mungu ila tu huyu mgeni?” Neno: Bibilia Takatifu Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?” Neno: Maandiko Matakatifu Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?” BIBLIA KISWAHILI Je! Hawakuonekana waliorudi kumpa Mungu utukufu ila mgeni huyu? |
Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza. Naye autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonesha wokovu wa Mungu.
Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa yeyote katika Israeli.
bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Makutano walipomwona, walishikwa na hofu, wakamtukuza Mungu, aliyewapa watu amri ya namna hii.
akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Msujudieni yeye aliyezifanya mbingu na nchi na bahari na chemchemi za maji.