Luka 17:19 - Swahili Revised Union Version19 Akamwambia, Inuka, nenda zako, imani yako imekuokoa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Halafu akamwambia huyo mtu, “Simama, uende zako; imani yako imekuponya.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Halafu akamwambia huyo mtu, “Simama, uende zako; imani yako imekuponya.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Halafu akamwambia huyo mtu, “Simama, uende zako; imani yako imekuponya.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Isa akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Isa akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Akamwambia, Inuka, nenda zako, imani yako imekuokoa. Tazama sura |