Isaya 42:12 - Swahili Revised Union Version12 Na wamtukuze BWANA, Na kutangaza sifa zake visiwani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Wote wakaao nchi za mbali, na wamtukuze na kumsifu Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wote wakaao nchi za mbali, na wamtukuze na kumsifu Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wote wakaao nchi za mbali, na wamtukuze na kumsifu Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wampe Mwenyezi Mungu utukufu, na kutangaza sifa zake katika visiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wampe bwana utukufu, na kutangaza sifa zake katika visiwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Na wamtukuze BWANA, Na kutangaza sifa zake visiwani. Tazama sura |