Mathayo 8:12 - Swahili Revised Union Version12 bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini wale ambao ufalme huo ni wao watatupwa nje, gizani, ambako watalia na kusaga meno.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini wale ambao ufalme huo ni wao watatupwa nje, gizani, ambako watalia na kusaga meno.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini wale ambao ufalme huo ni wao watatupwa nje, gizani, ambako watalia na kusaga meno.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Lakini warithi wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ambako kutakuwa kilio na kusaga meno.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Lakini warithi wa Ufalme watatupwa katika giza la nje, ambako kutakuwako kilio na kusaga meno.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno. Tazama sura |