Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu yeyote tangu siku ile kumwuliza neno tena.
Luka 14:6 - Swahili Revised Union Version Nao hawakuweza kujibu maneno haya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao hawakuweza kumjibu swali hilo. Biblia Habari Njema - BHND Nao hawakuweza kumjibu swali hilo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao hawakuweza kumjibu swali hilo. Neno: Bibilia Takatifu Nao hawakuwa na la kusema. Neno: Maandiko Matakatifu Nao hawakuwa na la kusema. BIBLIA KISWAHILI Nao hawakuweza kujibu maneno haya. |
Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu yeyote tangu siku ile kumwuliza neno tena.
Aliposema haya wakatahayari wote walioshindana naye; mkutano wote wakafurahi kwa sababu ya mambo matukufu yaliyotendwa na yeye.
Wala hawakuweza kumshitaki kwa maneno yake mbele ya watu; wakastaajabia majibu yake, wakanyamaza.
kwa sababu mimi nitawapa kinywa na hekima ambayo watesi wenu wote hawataweza kushindana nayo wala kuipinga.