akapeleka kwa mkono wa Nathani, nabii, naye akamwita jina lake Yedidia, kwa ajili ya BWANA.
Luka 1:60 - Swahili Revised Union Version Mamaye akajibu akasema La, sivyo; bali, ataitwa Yohana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.” Biblia Habari Njema - BHND Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.” Neno: Bibilia Takatifu Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yahya.” Neno: Maandiko Matakatifu Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yahya.” BIBLIA KISWAHILI Mamaye akajibu akasema La, sivyo; bali, ataitwa Yohana. |
akapeleka kwa mkono wa Nathani, nabii, naye akamwita jina lake Yedidia, kwa ajili ya BWANA.
Nami nikalala na nabii mwanamke, naye akapata mimba, akazaa mtoto wa kiume. Kisha BWANA akaniambia, Mwite jina lake Maher-shalal-hash-bazi.
Lakini yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mkeo Elisabeti atakuzalia mtoto wa kiume, na jina lake utamwita Yohana.