Luka 1:60 - Swahili Revised Union Version60 Mamaye akajibu akasema La, sivyo; bali, ataitwa Yohana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema60 Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND60 Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza60 Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu60 Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yahya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu60 Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yahya.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI60 Mamaye akajibu akasema La, sivyo; bali, ataitwa Yohana. Tazama sura |