Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Isaya 8:3 - Swahili Revised Union Version

3 Nami nikalala na nabii mwanamke, naye akapata mimba, akazaa mtoto wa kiume. Kisha BWANA akaniambia, Mwite jina lake Maher-shalal-hash-bazi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Nililala na mke wangu ambaye pia ni nabii, akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Mpe mtoto huyo jina ‘Teka-haraka-pokonya-upesi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Nililala na mke wangu ambaye pia ni nabii, akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Mpe mtoto huyo jina ‘Teka-haraka-pokonya-upesi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Nililala na mke wangu ambaye pia ni nabii, akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Mwenyezi-Mungu akaniambia, “Mpe mtoto huyo jina ‘Teka-haraka-pokonya-upesi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Kisha nikaenda kwa nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mwana. Kisha Mwenyezi Mungu akaniambia, “Mwite huyo mtoto Maher-Shalal-Hash-Bazi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Kisha nikaenda kwa nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mwana. Kisha bwana akaniambia, “Mwite huyo mtoto Maher-Shalal-Hash-Bazi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Nami nikalala na nabii mwanamke, naye akapata mimba, akazaa mtoto wa kiume. Kisha BWANA akaniambia, Mwite jina lake Maher-shalal-hash-bazi.

Tazama sura Nakili

Isaya 8:3
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Hilkia kuhani, na Ahikamu, na Akbori, na Shafani, na Asaya, wakamwendea Hulda, nabii wa kike, mkewe Shalumu, mwana wa Tikva, mwana wa Harhasi, mtunza mavazi ya mfalme; (naye alikaa Yerusalemu katika mtaa wa pili;) wakasema naye.

BWANA akaniambia, Ujipatie ubao mkubwa ukaandike juu yake kwa hati ya kawaida, Kwa Maher-shalal-hash-bazi;

Hata ikawa, asubuhi, Pashuri huyo akamtoa Yeremia katika mkatale. Ndipo Yeremia akamwambia, BWANA hakukuita jina lako Pashuri, bali Magor-misabibu.

Basi Debora, nabii mwanamke, mkewe Lapidothi, ndiye aliyekuwa mwamuzi wa Israeli wakati ule.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo