Hesabu 4:1 - Swahili Revised Union Version Kisha BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu akawaambia Mose na Aroni, Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu akawaambia Mose na Aroni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu akawaambia Mose na Aroni, Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akawaambia Musa na Haruni, Neno: Maandiko Matakatifu bwana akawaambia Musa na Haruni, BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, |
Tena, tazama, nimemchagua, awe pamoja naye, huyo Oholiabu, mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani; nami nimetia hekima katika mioyo ya wote wenye moyo wa hekima, ili wapate kutengeneza vyote nilivyokuagiza;
Hata hivyo watakuwa wahudumu katika patakatifu pangu, wakiwa wasimamizi wa malango ya nyumba, wakihudumu humo nyumbani; watawachinjia watu sadaka za kuteketezwa na dhabihu, nao watasimama mbele yao ili kuwahudumia.
Tena hapo maskani itakapokwenda mbele, Walawi wataishusha; tena hapo maskani itakaposimamishwa, Walawi wataisimamisha; na mgeni atakayekaribia atauawa.
kisha hizo fedha za ukombozi Musa akampa Haruni na wanawe, kama neno la BWANA, kama BWANA alivyomwagiza Musa.
Katika wana wa Lawi uitenge hesabu ya wana wa Kohathi, kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao,