Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 3:51 - Swahili Revised Union Version

51 kisha hizo fedha za ukombozi Musa akampa Haruni na wanawe, kama neno la BWANA, kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 akawapa Aroni na wanawe fedha hizo za fidia sawa na neno la Mwenyezi-Mungu kama alivyomwamuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 akawapa Aroni na wanawe fedha hizo za fidia sawa na neno la Mwenyezi-Mungu kama alivyomwamuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 akawapa Aroni na wanawe fedha hizo za fidia sawa na neno la Mwenyezi-Mungu kama alivyomwamuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Musa akampa Haruni na wanawe ile fedha ya ukombozi, kama alivyoamriwa na neno la Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Musa akampa Haruni na wanawe ile fedha ya ukombozi, kama alivyoamriwa na neno la bwana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

51 kisha hizo fedha za ukombozi Musa akampa Haruni na wanawe, kama neno la BWANA, kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Tazama sura Nakili




Hesabu 3:51
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli wote; kama BWANA alivyowaagiza Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.


Ikumbukeni Torati ya Musa, mtumishi wangu, niliyomwamuru huko Horebu kwa ajili ya Israeli wote, naam, amri na hukumu.


Kama BWANA alivyomwagiza Musa, ndivyo alivyowahesabu huko katika jangwa la Sinai.


Musa akakasirika sana, akamwambia BWANA. Usiikubali sadaka yao; mimi sikutwaa hata punda mmoja kwao, wala sikumwumiza hata mtu mmoja miongoni mwao.


na hizo fedha ambazo walizidi wamekombolewa kwazo utampa Haruni na wanawe.


akatwaa hizo fedha kwa wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israeli; shekeli elfu moja na mia tatu na sitini na tano kwa shekeli ya mahali patakatifu;


Kisha BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,


Sikutamani fedha wala dhahabu, wala mavazi ya mtu.


Ikiwa wengine wanashiriki uwezo huu juu yenu, sisi si zaidi? Lakini hatukuutumia uwezo huo; bali twayavumilia mambo yote tusije tukaizuia Habari Njema ya Kristo.


lichungeni kundi la Mungu lililo kwenu, na kulisimamia, si kwa kulazimishwa, bali kwa hiari kama Mungu atakavyo; si kwa kutaka fedha ya aibu, bali kwa moyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo