Lakini Walawi watapanga hema zao kuizunguka maskani ya ushahidi pande zote, ili zisiwe hasira juu ya mkutano wa wana wa Israeli; kisha Walawi wahudumu katika hiyo Hema Takatifu.
Hesabu 3:29 - Swahili Revised Union Version Jamaa za wana wa Kohathi watapiga kambi upande wa kusini wa maskani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Familia za wana wa Kohathi zilitakiwa kupiga kambi yao upande wa kusini wa mahali patakatifu, Biblia Habari Njema - BHND Familia za wana wa Kohathi zilitakiwa kupiga kambi yao upande wa kusini wa mahali patakatifu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Familia za wana wa Kohathi zilitakiwa kupiga kambi yao upande wa kusini wa mahali patakatifu, Neno: Bibilia Takatifu Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani. Neno: Maandiko Matakatifu Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani. BIBLIA KISWAHILI Jamaa za wana wa Kohathi watapiga kambi upande wa kusini wa maskani. |
Lakini Walawi watapanga hema zao kuizunguka maskani ya ushahidi pande zote, ili zisiwe hasira juu ya mkutano wa wana wa Israeli; kisha Walawi wahudumu katika hiyo Hema Takatifu.
Upande wa kusini kutakuwa na bendera ya kambi ya Reubeni kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Reubeni atakuwa Elisuri mwana wa Shedeuri.
Kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, walikuwa elfu nane na mia sita, wenye kuhudumu katika mahali patakatifu.