Hesabu 3:23 - Swahili Revised Union Version23 Jamaa za Wagershoni wapigavyo kambi nyuma ya maskani, upande wa magharibi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Familia za Wagershoni, iliwapasa kupiga kambi yao upande wa magharibi, nyuma ya hema takatifu Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Familia za Wagershoni, iliwapasa kupiga kambi yao upande wa magharibi, nyuma ya hema takatifu Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Familia za Wagershoni, iliwapasa kupiga kambi yao upande wa magharibi, nyuma ya hema takatifu Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Ukoo wa Wagershoni walitakiwa kuweka kambi zao upande wa magharibi, nyuma ya Maskani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Ukoo wa Wagershoni walitakiwa kuweka kambi zao upande wa magharibi, nyuma ya Maskani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Jamaa za Wagershoni wapigavyo kambi nyuma ya maskani, upande wa magharibi. Tazama sura |