Hesabu 3:22 - Swahili Revised Union Version22 Hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu saba na mia tano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Idadi yao kwa kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia waliokuwa na mwezi mmoja na zaidi ni 7,500. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Idadi yao kwa kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia waliokuwa na mwezi mmoja na zaidi ni 7,500. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Idadi yao kwa kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia waliokuwa na mwezi mmoja na zaidi ni 7,500. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Idadi ya wanaume wote wa umri wa mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa elfu saba na mia tano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Idadi ya waume wote waliokuwa na mwezi mmoja au zaidi waliohesabiwa walikuwa 7,500. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu saba na mia tano. Tazama sura |