Hesabu 3:29 - Swahili Revised Union Version29 Jamaa za wana wa Kohathi watapiga kambi upande wa kusini wa maskani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Familia za wana wa Kohathi zilitakiwa kupiga kambi yao upande wa kusini wa mahali patakatifu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Familia za wana wa Kohathi zilitakiwa kupiga kambi yao upande wa kusini wa mahali patakatifu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Familia za wana wa Kohathi zilitakiwa kupiga kambi yao upande wa kusini wa mahali patakatifu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Jamaa za wana wa Kohathi watapiga kambi upande wa kusini wa maskani. Tazama sura |