Hesabu 26:6 - Swahili Revised Union Version na wa Hesroni, jamaa ya Wahesroni; na wa Karmi, jamaa ya Wakarmi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hesroni na Karmi. Biblia Habari Njema - BHND Hesroni na Karmi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hesroni na Karmi. Neno: Bibilia Takatifu kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni; kutoka kwa Karmi, ukoo wa Wakarmi. Neno: Maandiko Matakatifu kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni; kutoka kwa Karmi, ukoo wa Wakarmi. BIBLIA KISWAHILI na wa Hesroni, jamaa ya Wahesroni; na wa Karmi, jamaa ya Wakarmi. |
Lakini Watoto wenu, ambao mlisema watakuwa mateka, ndio nitakaowaleta na kuwatia ndani, nao wataijua nchi mliyoikataa ninyi.
Na wana wa Peresi walikuwa; wa Hesroni, jamaa ya Wahesroni; wa Hamuli, jamaa ya Wahamuli.
Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Israeli, wana wa Reubeni; wa Hanoki, jamaa ya Wahanoki; na wa Palu, jamaa ya Wapalu;
Hizi ndizo jamaa za Wareubeni; na hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tatu, mia saba na thelathini.