Hesabu 2:7 - Swahili Revised Union Version na kabila la Zabuloni; na mkuu wa wana wa Zabuloni atakuwa Eliabu mwana wa Heloni; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha kabila la Zebuluni, kiongozi wao akiwa Eliabu mwana wa Heloni, Biblia Habari Njema - BHND Kisha kabila la Zebuluni, kiongozi wao akiwa Eliabu mwana wa Heloni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha kabila la Zebuluni, kiongozi wao akiwa Eliabu mwana wa Heloni, Neno: Bibilia Takatifu Kabila la Zabuloni litafuata. Kiongozi wa watu wa Zabuloni ni Eliabu mwana wa Heloni. Neno: Maandiko Matakatifu Kabila la Zabuloni litafuata. Kiongozi wa watu wa Zabuloni ni Eliabu mwana wa Heloni. BIBLIA KISWAHILI na kabila la Zabuloni; na mkuu wa wana wa Zabuloni atakuwa Eliabu mwana wa Heloni; |
tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng'ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Eliabu mwana wa Heloni.