Hesabu 7:24 - Swahili Revised Union Version24 Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, mkuu wa wana wa Zabuloni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Siku ya tatu ikawa zamu ya Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zebuluni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Siku ya tatu ikawa zamu ya Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zebuluni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Siku ya tatu ikawa zamu ya Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zebuluni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa watu wa Zabuloni, alileta sadaka yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zabuloni, alileta sadaka yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, mkuu wa wana wa Zabuloni; Tazama sura |