Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 2:6 - Swahili Revised Union Version

6 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na nne na mia nne;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 54,400.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 54,400.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 54,400.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kundi lake lina watu elfu hamsini na nne na mia nne.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kundi lake lina watu 54,400.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na nne na mia nne;

Tazama sura Nakili




Hesabu 2:6
4 Marejeleo ya Msalaba  

wale waliohesabiwa katika kabila la Isakari, walikuwa watu elfu hamsini na nne na mia nne (54,400).


Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Isakari; na mkuu wa wana wa Isakari atakuwa Nethaneli mwana wa Suari;


na kabila la Zabuloni; na mkuu wa wana wa Zabuloni atakuwa Eliabu mwana wa Heloni;


Hawa ndio jamaa wa Isakari kama waliohesabiwa kwao, elfu sitini na nne na mia tatu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo