Hesabu 2:8 - Swahili Revised Union Version8 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na saba na mia nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 57,400. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 57,400. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 kikosi chake kulingana na hesabu ni wanaume 57,400. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kundi lake lina watu elfu hamsini na saba na mia nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kundi lake lina watu 57,400. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na saba na mia nne. Tazama sura |