Mkwewe Musa alipoyaona yote aliyowafanyia watu, akasema, Ni jambo gani hili uwatendealo hao watu? Kwani wewe kuketi hapo peke yako, na watu wote kusimama kwako tangu asubuhi hata jioni?
Hesabu 15:34 - Swahili Revised Union Version Nao wakamweka kifungoni, maana, lilikuwa halijasemwa atakalotendwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wao wakamweka kifungoni kwa sababu haikuwa bado imesemwa wazi namna ya kumfanya mtu wa namna hiyo. Biblia Habari Njema - BHND Wao wakamweka kifungoni kwa sababu haikuwa bado imesemwa wazi namna ya kumfanya mtu wa namna hiyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wao wakamweka kifungoni kwa sababu haikuwa bado imesemwa wazi namna ya kumfanya mtu wa namna hiyo. Neno: Bibilia Takatifu nao wakamweka kifungoni, kwa sababu haikufahamika kwa wazi kwamba afanyiwe nini. Neno: Maandiko Matakatifu nao wakamweka kifungoni, kwa sababu haikufahamika kwa wazi kwamba afanyiwe nini. BIBLIA KISWAHILI Nao wakamweka kifungoni, maana, lilikuwa halijasemwa atakalotendwa. |
Mkwewe Musa alipoyaona yote aliyowafanyia watu, akasema, Ni jambo gani hili uwatendealo hao watu? Kwani wewe kuketi hapo peke yako, na watu wote kusimama kwako tangu asubuhi hata jioni?