Hesabu 9:8 - Swahili Revised Union Version8 Musa akawaambia, Ngojeni hapo; hata nipate sikiza BWANA atakaloagiza juu yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mose akawajibu, “Ngojeni mpaka hapo nitakapopata maagizo juu yenu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mose akawajibu, “Ngojeni mpaka hapo nitakapopata maagizo juu yenu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mose akawajibu, “Ngojeni mpaka hapo nitakapopata maagizo juu yenu kutoka kwa Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Musa akawajibu, “Ngojeni hadi nitafute kile Mwenyezi Mungu anachoagiza kuwahusu ninyi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Musa akawajibu, “Ngojeni mpaka nitafute kile bwana anachoagiza kuwahusu ninyi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Musa akawaambia, Ngojeni hapo; hata nipate kumsikiliza BWANA atakaloniagiza juu yenu. Tazama sura |