Hesabu 9:7 - Swahili Revised Union Version7 Sisi tuko katika hali ya unajisi kwa ajili ya maiti wa mtu; nasi tumezuiwa kwa nini hata tusipate kumtolea BWANA matoleo kwa wakati wake ulioagizwa, kati ya wana wa Israeli? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 wakawaambia, “Sisi tu najisi kwa kuwa tumegusa maiti, lakini kwa nini tukatazwe kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka zake kwa wakati uliopangwa pamoja na Waisraeli wengine?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 wakawaambia, “Sisi tu najisi kwa kuwa tumegusa maiti, lakini kwa nini tukatazwe kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka zake kwa wakati uliopangwa pamoja na Waisraeli wengine?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 wakawaambia, “Sisi tu najisi kwa kuwa tumegusa maiti, lakini kwa nini tukatazwe kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka zake kwa wakati uliopangwa pamoja na Waisraeli wengine?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 wakamwambia Musa, “Tumekuwa najisi kwa sababu tumegusa maiti, lakini kwa nini tuzuiliwe kumtolea Mwenyezi Mungu sadaka yake pamoja na Waisraeli wengine katika wakati ulioamriwa?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 wakamwambia Musa, “Tumekuwa najisi kwa sababu tumegusa maiti, lakini kwa nini tuzuiliwe kumtolea bwana sadaka yake pamoja na Waisraeli wengine katika wakati ulioamriwa?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Sisi tuko katika hali ya unajisi kwa ajili ya maiti wa mtu; nasi tumezuiwa kwa nini hata tusipate kumtolea BWANA matoleo kwa wakati wake ulioagizwa, kati ya wana wa Israeli? Tazama sura |