Hesabu 15:34 - Swahili Revised Union Version34 Nao wakamweka kifungoni, maana, lilikuwa halijasemwa atakalotendwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Wao wakamweka kifungoni kwa sababu haikuwa bado imesemwa wazi namna ya kumfanya mtu wa namna hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Wao wakamweka kifungoni kwa sababu haikuwa bado imesemwa wazi namna ya kumfanya mtu wa namna hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Wao wakamweka kifungoni kwa sababu haikuwa bado imesemwa wazi namna ya kumfanya mtu wa namna hiyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 nao wakamweka kifungoni, kwa sababu haikufahamika kwa wazi kwamba afanyiwe nini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 nao wakamweka kifungoni, kwa sababu haikufahamika kwa wazi kwamba afanyiwe nini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Nao wakamweka kifungoni, maana, lilikuwa halijasemwa atakalotendwa. Tazama sura |