Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 24:12 - Swahili Revised Union Version

12 Nao wakamtia kifungoni, ili wapate kuambiwa neno litakalotoka kinywani pa BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Nao wakamweka mahabusu hadi mapenzi ya Mwenyezi Mungu yawe wazi kwao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Nao wakamweka mahabusu mpaka mapenzi ya bwana yawe wazi kwao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Nao wakamtia kifungoni, ili wapate kuambiwa neno litakalotoka kinywani mwa BWANA.

Tazama sura Nakili




Walawi 24:12
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwamba utafanya jambo hili, na Mungu akikuagiza hivyo, basi utaweza kusimama wewe, na watu hawa wote nao watakwenda mahali pao kwa amani.


Na BWANA akasema na Musa, na kumwambia,


Nao wakamweka kifungoni, maana, lilikuwa halijasemwa atakalotendwa.


Basi Musa akaleta neno lao mbele ya BWANA


Musa akawaambia, Ngojeni hapo; hata nipate sikiza BWANA atakaloagiza juu yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo