Hesabu 1:6 - Swahili Revised Union Version Wa Simeoni; Shelumieli mwana wa Suri-shadai. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Simeoni: Shelumieli mwana wa Suri-shadai; Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Simeoni: Shelumieli mwana wa Suri-shadai; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Simeoni: Shelumieli mwana wa Suri-shadai; Neno: Bibilia Takatifu kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai; Neno: Maandiko Matakatifu kutoka Simeoni, ni Shelumieli mwana wa Surishadai; BIBLIA KISWAHILI Wa Simeoni; Shelumieli mwana wa Suri-shadai. |
Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Simeoni; na mkuu wa wana wa Simeoni atakuwa Shelumieli mwana wa Suri-shadai;