Katika wana wa Asheri, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Hesabu 1:41 - Swahili Revised Union Version wale waliohesabiwa katika kabila la Asheri, walikuwa watu elfu arubaini na moja na mia tano (41,500). Matoleo zaidiBiblia Habari Njema walikuwa watu 41,500. Biblia Habari Njema - BHND walikuwa watu 41,500. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza walikuwa watu 41,500. Neno: Bibilia Takatifu Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu elfu arobaini na moja na mia tano. Neno: Maandiko Matakatifu Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu 41,500. BIBLIA KISWAHILI wale waliohesabiwa katika kabila la Asheri, walikuwa watu elfu arobaini na moja na mia tano (41,500). |
Katika wana wa Asheri, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Katika wana wa Naftali, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Hawa ndio jamaa wa wana wa Asheri kama waliohesabiwa kwao, elfu hamsini na tatu na mia nne.