Katika wana wa Gadi, kwa kufuata vizazi vyao, jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Hesabu 1:25 - Swahili Revised Union Version wale waliohesabiwa katika kabila la Gadi, walikuwa watu elfu arubaini na tano, mia sita na hamsini (45,650). Matoleo zaidiBiblia Habari Njema walikuwa watu 45,650. Biblia Habari Njema - BHND walikuwa watu 45,650. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza walikuwa watu 45,650. Neno: Bibilia Takatifu Idadi kutoka kabila la Gadi walikuwa watu elfu arobaini na tano, mia sita na hamsini. Neno: Maandiko Matakatifu Idadi kutoka kabila la Gadi walikuwa watu 45,650. BIBLIA KISWAHILI wale waliohesabiwa katika kabila la Gadi, walikuwa watu elfu arobaini na tano, mia sita na hamsini (45,650). |
Katika wana wa Gadi, kwa kufuata vizazi vyao, jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Katika wana wa Yuda, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arubaini na tano, mia sita na hamsini.